Bebe nimepandwa na mizuka ya we
Njo nikubebe hii mida wanga tunaruka debe
Tembeza kijiti Leo uunamoka na wee
Ukisha Muziki naondoka nawe
Mikimikikiii maparanawe aaah aah
Kwichikwichi mpaka upagawe oyaaah
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka Juu
Juu mpaka Juu
Nikilewa naonda nawee eeeh eeeh eh
Funga mkanda mkanda mkanda
Ni Mimi na wewe eeh eeh eeeeh
Mpaka parapanda panda panda Aya ayaah aya ayaah
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka juu mpaka chini
Juu mpaka Juu
Juu mpaka Juu
Aaah unavyokata
aaah unanipandaa
Aaah unavyokata
mzuka unanipanda